Monday, April 2, 2012

MATOKEO YATANGAZWA ARUMERU,CHADEMA YAIBUKA KIDEDEA .

Mbunge mteule kwa tiketi ya chadema Arumeru mashariki Mh Joshua Nassari, akiongea na waandishi wa habari leo saubuhi mara maada ya kutangazwa rasmi kwa matokeo leo asubuhi.

Msimamizi wa uchaguzi na mkurungezi wa wilaya ya Arumeru Bw Gracias Kagenzi amemtangaza mgombea wa CHADEMA Bw Joshua Nassari kuwa mshindi wa kinyang'anyilo hicho kwa kura 32,972 na akifatiwa na Bw Sioi  sumari aliye pata kura 26, 756.


Kwa upande mwingine CHADEMA imezidi kushinda katika chaguzi ndogo za madiwani huko Mwanza na Kilwa mkoani Mbeya.

No comments:

Post a Comment