![]() |
Mwili wa marehemu Stive Kanumba wakati unaingizwa mochwari ya Muhimbili jijini Dar es salaam. |
![]() |
Sweiba wa karibu kabisa wa Marehemu Steve Kanumba Visenti Kigosi akiingia mochwari. |
![]() |
Baadhi ya wasanii ambao wamefika nyumbani kwake hii leo asubuhi.. |
![]() |
Ni jamaa, ndugu na marafiki waliofika nyumbani kwa marehemu hii leo. Wkionesha sura zilizo jaa uzuni na majonzi. |
![]() |
Mmoja wa waii wa bongo move azimiia baada ya kupata taarifa juu ya msiba huo. |
No comments:
Post a Comment