Saturday, April 7, 2012

BRENKING NEWSSSSSSS..MWIGIZAJI WA FILAMU NCHINI TANZANIA STEVE KANUMBA AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO.

    Taarifa zilizo ifikia blog hii hivi punde Msanii maarufu Nchini Steve Kanumba amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake sinza VATIKANI jijini Dar es salaam.

Marehemu Kanumba enzi za uhai wake. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi ameni.
HABARI ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE KUPITIA CLOUD TV KUWA KANUMBA  AMEFIA NYUMBANI KWAKE USIKU WA KUAMKIA LEO.


KWA BUJIBU WA WASANII AMBAO WAMEALIKWA STUDIO ZA CLOUD TV VISENTI KIGOSIK, STEVE NYERERE,MTITU NA WENGINEO, WAMESEMA" INASEMEKANA KUWA MAREHEMU AMEFARIKI NYUMANI KWAKE BAADA YA KUANGUKIA KISOGO".


POLISI BADO WANAENDELEA NA UCHUNGUZI WA TUKIO HILO.  BLOG HII ITAKULEA KILA KITU KUHUSIANA NA TUKIO HILO.

No comments:

Post a Comment