Baadhi ya wafanya biashara wa soko kuu la kariakoo wakiuza bidhaa zao nje ya soko hilo, na ni kinyume cha sheria leo jijini Dar es salaam. |
Baadhi ya wakazi wa jiji wakinunua bidhaa kwa ajili ya matumizi yao, jijini dar es salaam. |
Hizi ni mbogamboga za majani ambazo zimepangwa chini na wafanya biashara hao jijini hapa. |
No comments:
Post a Comment