Mkurugenzi wa kitengo cha tiba asili na tiba mbadala D.k Poul Mhare wa Pili kutoka kulia akionesha baadhi ya mambango ambayo yametolewa manispaa ya temeke leo Jijini Dar es Salaam. |
Askari wa Manispaa ya Temeke akitoa bango ambalo limewekwa kwenye nguzo ya umeme hivi leo jijini Dar es Salaam. |
Askari wa Manispaa ya Temeke akiendelea na zoezi la uondoaji mabango hayo. |
No comments:
Post a Comment