MIILI INAYOSADIKIWA KUWA YA BINADAMU IMEKUTWA IMETUPWA BUNJU ENEO LA MACHIMBO YA MCHANGA
Miili inayosadikiwa kuwa ya binadamu imekutwa kwenye mifuko imetupwa maeneo ya Bunju Mchangani Jijiji Dar es Salaam hivi leo. Akiongea na Blog hii kuthibitisha tukio hilo Kamanda wa Polisi kituo Kidogo cha Bunju, Eelieza Emanueli amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, amesema kuwa hadi sasa idadi kamili ya miili hiyo haijafahamika.
Hii ni Gari aina ya canter inayosadikiwa kwenda kutupa miili hiyo maeneo ya Machimbo ya mchanga Bunju Jijini Dae es Salaam.
Baadhi ya mifuko inayosadikiwa kuwa na Maiti hizo.
No comments:
Post a Comment