CHANZO CHA KIFO CHA KANUMBA HIKI HAPA.
KWA MUJIBU WA MDOGO WA MAREHEMU KANUMBA, ALISEMA KUWA ELIZABETH MICHAELI ALI MAARUFU KAMA LULU ALIKUJA NYUMBANI KUKAWA NA KAUGOMVI AMBAPO WAKAINGIA CHUMBANI BAADA YA MUDA, LULU AKATOKA HUKO NA KUMWITA YEYE NA KUMWAMBIA KUWA KANUMBA AMEANGUKA, YEYE ALIPOENDA AKAMKUTA KAANGUKA NDIPO AKAENDA KUMWITA DAKITARI WA KANUMBA NA ARIPORUDI HAKUMKUTA LULU. LAKINI HADI SASA LULU YUKO KITUO CHA POLISI OSTERBEI JIJINI DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment