Saturday, April 7, 2012

BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WALIOFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU KANUMBA

Mtoto wa Kikwete akiweka sain kwenye kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu.

Msanii wa move alimaarufu kama Bi mwenda akilia kwa uchungu mkubwa kwa kupotelewa na nguli wa filamu nchini.

Mbunge wa kinondoni Mh. Idd Azzan akiweka sain kwenye kitabu cha maombolezo cha maombolezo ya kifo cha mcheza Filamu Nchini marehemu steve Kanumba nyumbani kwake ambapo alikuwa akiishi.

Mke wa waziri Mkuu Mama Pinda naye akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo.

No comments:

Post a Comment