Sunday, April 8, 2012

MAMBO YA PASAKA UWANJA WA TAIFA JIONI YA LEO

Baadhi ya watu waliofika uwanja wa taifa kushudia  Tamasha la pasaka jioni hii ya leo.

Tumaini John akionesha maujanja yake jukwaani

Rebeca Marope (katitkati) akirekebisha mambo kabla ya kupandanda jukwaani.

Kundi la John Lisu likifanya mabo yake jukwaani uwanja waTaifa (piha zote kutoka blog ya issa michuzi).

No comments:

Post a Comment