Siku kadhaa baada ya Wizara ya Elimuu Nchini kutangaza matokeo ya kidato cha sita na matokeo ya ualimu, hatimaye jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa mujibu wa sheria.
Walimu waliochaguliwa ni wa ngazi ya cheti ambao wamepangiwa vikosi vya kwenda.
Kuangalia majina hayo tafadhali BOFYA hapo chini;
No comments:
Post a Comment