Monday, April 9, 2012

WAZIRI MKUU NAYE AOMBOLEZA MSIBA WA KANUMBA

Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa msanii wa Bongo Move hapa Nchini Nyumbani kwa  marehemu Steve Kanumba Sinza jijini Dar es Salaam leo.

Waziri Mkuu MIzengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji mara baada ya kufika nyumbani kwa marehemu Steve Kanumba Sinza Vatican Jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment