![]() |
Mgombea wa ubunge Arumeru mashariki, Nassari akiwa karibu na helkopta, anayoitumia kama usafiri katika kampeni zinazoendelea katika jimbo hilo |
![]() |
Mwenyekiti wa chadema, Mbunge wa Hai na kiongozi mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freemani Mbowe akimnadi Nassari jana. |
![]() |
Mgombea wa chadema Nassari (katika) akisindikizwa kwenye helkopta. kushoto ni kamanda wa Renatus Mrashani katibu wa CHADEMA mkoa wa Dar es salaam. (picha zote na jackison w. Makala) Arusha. |
No comments:
Post a Comment