Thursday, March 29, 2012

CCM YAENDELEA NA KAMPENI ARUMERU MASHARIKI

Mwinguli aonesha kazi za TLP na za CHADEMA alizokabidhiwa baada ya aliyekuwa mwanezi wa TLP kata ya sela sing'assi , Augostine Kyungani na aliye kuwa katibu wa kampeni za CHADEMA Anna Silas kumkabidhi baada ya kuamia CCM kwenye mkutano wa kampeni zilizo fanyika kijiji cha sing'as jana.

 

Msafara wa mgombea ubunge kupitia tiketi ya ccm jimbo la Arumeru mashariki Sioi Sumari ukitoka kwenye kambi ya CCM kwenda vijijini kwenye mikutano jana ( picha na Jackson w makala) Arusha.

No comments:

Post a Comment