Mganga wa kienyeji ambae jina lake halikuweza kufaamika mara moja akitoa somo jinsi ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiuume, pamoja na maumbile kwa wapita njia soko kuu la kariakoo jijini Dar es salaam.
Mganga huyo akionesha utaalamu wake kwa kutumia nyoka ambao anawamiliki, kwa wapita njia wa eneo hilo. picha zote na Ally Hamiss.
No comments:
Post a Comment