Wednesday, April 23, 2014

KIKWETE AMLILIA MOSHI CHANG'A


Waziri Mkuu Mizengo Pinda sambamba na mke wake Tunu Pinda wakiaga mwili wa marehemu Chan ‘ga nyumbani kwake.

Baadhi ya waombolezaji wakishusha mwili wa marehemu Chan’ga nyumbani kwake Mbagala jijini Dar es Salaam.   
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salam za lambi lambi kwa kwa Waziiri mkuu Mizengo Pinda, kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Rukwa Moshi Chang'a.

katika salam zake hizo Rais Kikwete alisema"ni kifo cha kusikitisha kwa sababu kimepungiuza safu ya uongozi wetu na kimenyang'anya taifa mhamasishaji hodari  na mtetezi wa kuaminika kwa maendeleo ya wananchi"

Chang'a ambaye aliaga dunia April 20 katika hospitali ya Taifa Mhimbili jijini Dar es Salaam, wakati wa uhai wake amekuwa mkuu wa wilaya Mbeya, Tabora na Rukwa.

No comments:

Post a Comment