Na JOVINA BUJULU
kuchapisha habari na picha zisizokuwa za kweli na kuzua hofu kwa wananchi.
“Sio vizuri na kuleta mizaha katika habari makini na zinazogusa maisha ya wananchi kama ugonjwa wa EBOLA kwa unasababisha hofu miongoni mwa jamii” amesema Mwambene.
Amesema kuwa hadi hivi sasa hakuna mgonjwa yoyote aliyeripotiwa kuwa na ugonjwa huo hapa nchini na wala haujafika.
Hata
hivyo Mwambene ameongeza kuwa pamoja na kutokuwa na mgonjwa yoyote hapa
nchini, Serikali imeshachukua hatua mbalimbali katika kukabiliana na
ugonjwa huo endapo utaripotiwa kuingia nchini.
Ametaja
hatua hizo ni Kutenga vituo maalum vya kuwapima wagonjwa watakaohisiwa
kuwa na ugonjwa huo katika viwanja vya ndege na sehemu zote za kuingilia
nchini.
No comments:
Post a Comment