Tuesday, August 12, 2014

ABIRIA WANUSURIKA KIFO WAKISUBIRI USAFIRI

Gari aina ya Toyota Raum lenye namba za usajili T483 CMU likiwa eneo la kituo cha mabasi.

Mashuhuda wakiwa eneo la tukio.


Dereva wa gari lililopata ajali ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiongea na simu baada ya kunusurika kifO.


No comments:

Post a Comment