Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya
BBC, Ali Saleh (wa tatu kulia) akiwapatia maelekezo Waziri Mkuu
Mstaafu,Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim na Mwenyekiti wa CUF,Prof. Ibrahim
Lipumba namna ya Idhaa hiyo inavyoandaa vipindi vyake na inavyopeleka
hewani wakati wa hafla ya Uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo
ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC,jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment