Meneja Mawasiliano, Masoko na
Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin pamoja na
Mwanamitindo Flaviana Matata wakitoa mabegi kwa mmoja wa wanafunzi wa
shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule
zilizopo katika Halmashauri za Lindi na Nachingwea mkoa wa Lindi
wamenufaika na msaada huo wa mabegi hayo yenye vifaa mbalimbali vya
shule, msaada huo umetolewa kwa pamoja kati ya PSPF na Taasisi ya
Flaviana Matata. |
No comments:
Post a Comment