Wednesday, July 30, 2014

MEMBE ASEMA DINI NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA AMANI NA UTULIVU, ACHANGIA KITAMBU CHA MUFTI

 
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Kamilius Membe,akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, hukuwaziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kulia) akifuatilia mazungumzohayo kwa pembeni, wakati wakiwa kwenye hafla ya Baraza la Idd El Fitr,leo, Julai 29, 2014, kwenye Viwanja vya Kariamjee, Jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi kwenye Baraza la Eid El Fitr, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiingia kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, akisindikizwa na  Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Kassim.
 Pinda akimsalimia Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi baada ya kuwasili ukumbini.

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimsalimia Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Shaaban Issa Simba baada ya kuwasili ukumbini.

 Pinda akimtazama kwa furaha wakati Mwinyi akizindua kitabu kwa furaha ambacho kimeandikwa na Sheikh Mkuu, Shaaba Issa Simba, kitabu hicho chenye jina la Al Muhtaswar ni makusanyo mbalimbali ambayo sheikh Mkuu huyo ameyakusanya na kisha kutengeneza kitambu kwa ajili ya kukisambaza nchini kote kusaidia waislam kuzingatia vyema dini hiyo. Pamoja na wadau kadhaa, Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe amechangia kuwezesha uchapishaji wa kitabu hicho.

 Mtoto  wa jijini Dar es Salaam, Arafat Msham akiduusu kitabu hicho Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog



No comments:

Post a Comment