Na Karoli
Vinsent
HALI ya
Msanii Hodari wa Nyimbo za Injiri Nchini Tanzania Bahati Bukuku inazidi kuwa
mbaya,sasa kinachoitajika ni Maombi na sara kutoka kwa Watanzania ndio itakayoweza
kumwokoa Msanii huyo wa Injiri,Mtadano umeambiwa.
Bahati Bukuku,ambaye alipata ajari
mbaya ya Gari iliyotokea usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita kwenye eneo la Ranchi ya Narco wilayani
Kongwa Mkoani Dodoma m,ajira ya saa tisa
usiku wakati alipokuwa anakwenda Mkoani Shinyanga,Kahama kwenye mkutano wa Injiri
ambapo ajari ndiyo iliomleta matatizo makubwa.
Akizungumza na Blog hii huu
kwa Njia ya Simu, Rafiki wa karibu wa
bahati Bukuku ambaye hakutaka jina lake litajwe, alisema kwa sasa hali ya Mwanamziki huyo inazidi kuwa
mbaya, kinachoitajika ni
sara na Maombi ya watanzania.
No comments:
Post a Comment