Thursday, April 24, 2014

TEKNOLOJIA MPYA YA MATOFALI FUNGAMANA YAINGIA.

Mwandishi ujenzi wa Mawakala ya Taifa wa Utafiti wa Nyumba bora na Vifaa vya ujenzi (NHBRA) Twimanye John katikati akionyesha jinsi ya matumizi ya mashine ya kufyatulia matufali  fungamana jijini Dar es Salaam.

Waandishi wakionyesha matumizi ya mashine jinsi inavyofanya kazi jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment