Meneja wa lake oil wa kwanza kusho (Khaled Hassan) akiongea na waandinshi wa habari jana wakati akikabidhi msaada huo katika hopitali ya Mwananyamara jijini Dar es Salaam. |
Mwakilishi wa mgaga mkuu Mkoa Aekim Mwaikasu, akitoa shukurani zake kwa uongozi wa kampuni ya Lake oil kuwezakutoa msaada hiyo. |
Baadhi ya wafanyakazi wa Lake oil wakishuudia makabidhiano hayo |
No comments:
Post a Comment