KIJANA MMOJA ATEMBEA KUTOKA MWANZA HADI DAR KUPINGA MUUNDO WA SERIKALI TATU.
Denis Mango mkazi wa Ghana Mwanza akiongea na waandishi wa habari hivi leo jijini Dar es Salaam.
KIJANA mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Dinis Mango mkazi wa jiji la Mwanza ametembea kwa mguu kutoka mwanza hadi Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jiji Dar es Salaam, amesema kuwa lengo la kutembea matambezi hayo ni kuuenzi muungano uliopo na kukupinga muundo wa serikali tatu.
"niumetumia siku 13 kufika hapa na lengo kuwambwa bi kufikisha ujume kuwa nahamashisha muungano uliopo na napinga vikali muundo wa serikali tatu" alisema.
Aliongezea kuwa, wajumbe ambao wameteuliwa katika bunge maalmu la katiba watumie busara kuweza kupata katiba mpya ambayo watanzania waniitaka na si kutumia lugha za matusi.
No comments:
Post a Comment