Thursday, August 28, 2014

Video mpya ya Victoria Kimani feat.Diamond Platnumz&Ommy Dimpoz – Prokoto.

kimani
Audio ya wimbo huu umefanywa hapa hapa Tanzania na producer wa Kitanzania anaitwa Tudd Thomas ambaye ni mkali aliyetengeneza hit single kadhaa za wasanii mbalimbali ikiwemo singo ya Ndagushima ya Ommy Dimpoz na Mdogo Mdogo ya Diamond Platnumz.

kimn
kiman
Video imefanywa na Director kutoka Kenya Kevin Bosco Jnr ambaye kwa taarifa fupi ni kwamba ameshiriki pia kutengeneza video ya Mtanzania Ney wa Mitego ya Mr. Ney ambayo bado haijatoka.
kiman

No comments:

Post a Comment