Monday, July 21, 2014

WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI WASHINDANISHWA

Kaimu Balozi wa Ireland nchini, Brian Nolan wa Kwanza (kushoto), akiongea na Waandishi wa habari jana Jijini Dar es Salaam, kuhusu jinsi ya kuibua vipaji vya wanafunzi wanaosoma masomo ya sayansi, (katikati )ni Mkurugenzi wa Shirikisho la wanafunzi Chipukizi wa masomo ya Sayansi. Mashindano hayo yataanzanza tarehe 13 hadi 14 mwezi ujao.


No comments:

Post a Comment