Naibu
waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene akizungumza jambo wakati wa
mkutano kuhusiana na malipo ya wakazi wa Kurasini Jijini Dar es Salaam
kupisha mradi mkubwa wa biashara Afrika Mashariki na Kati. Pamoja nae ni
Waziri wake Dk. Abdallah Kigoda.
Mkurugenzi
EPZA, Dr. Adelhelm Meru, kulia kwake akiwa na Mkurugenzi msaidizi idara
ya maendeleo ya viwanda Wizara ya viwanda na biashara, Bi. Elli N.
Pallangyo
Wakurugenzi
kutoka wizara ya viwanda na biashara na wa EPZA wakiwa kwenye mkutano
wa dharura wa malipo ya fidia kwa wananchi wa Kurasini waliochukuliwa
makazi yao kwa ajili ya kujenga mradi wa Kurasini Logistics Centre.
No comments:
Post a Comment