Thursday, July 24, 2014

WAKAZI WA PUGU KINYAMWEZI WATINGA TANESCO WILAYANI KISALAWE.

Wakazi wa Pugu Kinyamwezi Mkoa wa Pwani, wakisikiliza ushauri kutoka kwa Katibu waliomtehua wa kufatilia huduma ya Umeme,  Lucas Maira wa kwanza (kushoto), Wakazi hao wamekosa huduma hiyo toka mwaka 2011 tangu walipo hamishwa kutoka Kigilagila kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere.



Wakazi hao wamekutwa na hali ya sitofahamu baada ya kumkosa Mkurugenzi wa Tanesco Wilaya ya Kisalawe, Madaraka Maumbo ili aweze kujibu madai yao.. Lakini mtandao huu uliongea na  Mkurugezi huyo kwa njia ya simu na aliwataka wananichi hao kuwa na subira kwani madai yao yako katika hatua za mwisho na kufikia mwishoni mwa mwaka huu watakuwa wamekwisha pata huduma hiyo. (picha zote na Magigi john)

No comments:

Post a Comment