Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu. R.I.P
TUTAZIDI KUKUPA TAARIFA ZAIDI.
Alikuwa anasubiri kuuona mwaka. Apumzike kwa amani, pole Wastara jamani.
ReplyDeleteR.I.P SAJUKI
ReplyDelete