Kamanda wa kanda Maalmu ya Dar es Salaam Suleiman Kova, sambamba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Said Meck sadik wakiwa katika swala hiyo. |
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum akitoa Khotuba katika Idada ya Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo. |
No comments:
Post a Comment