Mkurugenzi wa International Youth Fellowship
(TYF) Jeon Hee Yong (katikati), akiongea na waandishi wa habari hivi leo juu ya tamasha hilo ambalo litaanza tarehe agosti 5-9 mwaka huu, amesema kuwa tamasha litakalofanyika Mlimani City, hilo litaunganisha zaidi ya vijana 2500 ambao watabadilishwa kifra, kiingilio ni sh.20,000/= tu na watakao udhuria watapewa T-shert, chakula na malazi bure. |
No comments:
Post a Comment