Msanii wa Kiazazi kipya Nassibu Abul (Diamond), amezidi kufanya mapiduzi katika soko la mziki ndani na nje ya Mipaka ya Tanzania.
Diamond anabainisha kuwa, ngoma yake mpya ya Bum Bum aliyoifanya na Iyanya, inazidi kutesa kwenye vituo mambali mbali ya Televisheni Nigeria na nje ya Nigeria...
Diamond
amesema kuwa baada ya kuachia ngoma yake hiyo amefanikiwa kupata shoo
kadhaa Nigeria jambo ambaolo ni mafanikio ya kazi ambayo anaifanya
anayoifanya, amebainisha kuwa kuwana baadhi ya watu wamekuwa
wakimkatisha tamaa lakini yeye hata sikiliza maneno yao bali atafanya
kazi ili kuweza kuwapa radha wanayo itaka mashabiki wake.
No comments:
Post a Comment