Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kengele kuashiria mwanzo wa soko katika
makao makuu ya za Soko la hisa na Mitaji ya Mazao la Ethiopia jana Mei
10, 2012 alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo
wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na
kimataifa kwa njia ya kisasa
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment