Monday, August 18, 2014

WAZIRI HAWA GHASIA KULIKONI KWA WATUMISHI HAWA WA SERKALI ZA VIJIJI WILAYANI MEATU?


MADIWANI  wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu wamewafuta kazi  watendaji  watano  wa serikali za vijiji  na mmoja mtendaji wa kata  kwa kile kilichodaiwa utoro kazini  bila kutoa taarifa pamoja na kuzarau viongozi wa ngazi za juu ndani ya Halmshauri hiyo.

No comments:

Post a Comment