Sunday, August 24, 2014

MWANAMKE MMOJA APIGWA RISASI ARUSHA

👆BREAKING NEWS:Mwanamke mwingine apigwa risasi na kuuwawa mchana huu (jumamosi)huko Njiro, Arusha. Alikuwa anashuka kwenye gari lake wakaja jamaa wa pkpk wakamshambulia na kukimbia.

No comments:

Post a Comment