Zile hadithi ambazo tulikuwa tukizisikia tu masikioni mwetu bila shaka sasa majibu yamepatikana kuwa samaki huyu yupo na si story tu kama wengi wetu tulivyokuwa tukidhani, Huyu ni samaki adimu sana duniani kuoneka majuzi akiwa amekufa huko kwenye fukwe za BENIN akiwa amekufa. |
No comments:
Post a Comment