Sunday, August 3, 2014

PINDA AZINDUA STENDI YA KISASA MBEYA, ATAKA MACHINGA WAPEWE KIPAUMBELE KUPATIWA HUDUMA

Waziri  Mkuu Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Stendi mpya ya Kisasa iliyopo mkabala na uwanja wa Nane Nane Jijini Mbeya .
Waziri Mkuu akiwapungia wananchi mara baada ya kuwasili katika eneo la Stendi mpya ya kisasa Nane Nane Jijini Mbeya.

Waziri Mkuu Pinda akikata utepe kufungua maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kikanda Jijini Mbeya leo mchana, maonesho hayo yanatarajiwa kuwa kilele chake siku ya Agosti 8.

No comments:

Post a Comment