Thursday, August 7, 2014

LHCR YATOA TAARIFA KUHUSU MWENDENDO WA MCHAKATO WA UTUNGAJI KATIBA MPYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Dk Helen Kijo-Bisimba (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, kuhusu mwendendo wa mchakato wa utungaji wa katiba mpya ya Tanzania unaoendelea Dodoma.

Mtetezi wa Haki za Wanawake Anelia Nkya (katikati) akizungumza kwenye mkutano huo.

Mwanasheria wa LHCR, Horold Sungusia (katikati), akitoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu mchakato huo wa Katiba Mpya.

No comments:

Post a Comment