Naibu waziri wa habari, vijana,na michezo Mh Juma Nkamia (katikat), akijiandaa kukata utepe kama ishara ya kuzindua kitabu hicho leo jijini Dar es Salaam. |
Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota, Bwana Mkuki Bgoya akieleza Jinsi walivyachapisha kitabu hicho. |
Mhe Naibu waziri wa Habari, Vijana na Michezo akitoa pongezi kwa Mkuki kuona mbali kwa kubuni kitu pya kwa kuweka historia ya simba kwa njia ya maandishi, jambo ambalo ni kumbukumbu inayodum. |
No comments:
Post a Comment