Hii ndiyo Lodge ambayo inanyumba ya ibada ndani yake, chini ni Lodge kama kawaida lakini gorofa ya juu kabisa ndiyo nyumba ya ibada na maombi yanaendelea kama kawaida, kilichonifurahisha zaidi endapo ukienda kutaka kupata huduma kama mko jinsia mbili tofauti, lazima uoneshe cheti cha ndoa kama hauna basi huduma hakuna, inapatikana Kindondoni Jijini Dar es Salaam. |
Mmmh mbinguni hakuna atakaye kanyaga
ReplyDeletekwann mdau? hahah
Deletekwann mdau hehehe
ReplyDelete