Sunday, July 20, 2014

HII NDIYO LODGE YENYE KANISA NDANI YAKE.

Hii ndiyo Lodge ambayo inanyumba ya ibada ndani yake, chini ni Lodge kama kawaida lakini gorofa ya juu kabisa ndiyo nyumba ya ibada na maombi yanaendelea kama kawaida, kilichonifurahisha zaidi endapo ukienda kutaka kupata huduma kama mko jinsia mbili tofauti, lazima uoneshe cheti cha ndoa kama hauna basi huduma hakuna, inapatikana Kindondoni Jijini Dar es Salaam.

Lodge hiyo kwa mbele, laiti kama Lodge zote zingekuwa hivi sijui khali ingekuwaje.



3 comments: