BONGE

Monday, July 1, 2013

MAMA MICHELLE OBAMA ATEMBELEA WAMA FOUNDATION

Mama Michelle Obama wakisalimiana na mama Salma Kikwete.

Mke wa Rais wa Markani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA  jioni hii wakati alipotembelea katika ofisi hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa  WAMA Mama Salma Kikwete katika makao makuu ya taaisis hiyo leo, Rais Barack Obama na Mke wake Michelle Obama wako  katika ziara ya siku mbili ya kikazi nchini Tanzania wakiongozana  na watoto wao jioni hii Rais Barack Obama atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete na pia watazungumza na waandishi wa habari Ikulu kabla ya kuendelea na kazi zingine.


Mama Michelle Obama akielekea katika ofisi za WAMA leo jioni. picha zote kutoka full shangwe.


Posted by John kibonge (BONGE) at 5:34 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Search Box

ZILIZOSOMWA:

  • ZOEZI LA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII KUANZA KESHO Picha Na 2
    Mkurugenzi wa Taasisi ya Uunganishaji na Shirikishi Wadau katika Tasnia ya Uziduaji (Extractive InterStakeholders Forum, EISF) Bi. Cathe...
  • MAGAZETI YETU LEO
  • ATCL YALETA NDEGE MPYA LEO
    Nembo ya ATCL SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya Boeing 737-500 ambayo inatarajia kuwasili leo hi...
  • GARI LA NANE NANE LAUWA WAFANYA KAZI 8 MKOANI LINDI
    WATU wanane wamekufa papo hapo, wengine tisa wakijeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Nyangao mkoani Lindi baada ya gari aina ya Lan...
  • HOTUBA YA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM MH. SAMWELI SITA, LEO AGOST 5 BUNGENI
    Karibuni tena Dodoma Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la kutunga Katiba ya nchi yetu. Sote tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi ...
  • SWALA YA EID EL FITR KITAIFA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR LEO
    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal  akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam  Mh Said Meck ...
  • BALOZI WA MAREKANI AKWAMA KWENYE LIFTI
    Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt (nyuma) akiwa amekwama kwenye lifti ya jengo la Wizara ya Nishati na Madini, jijini Dar es ...
  • BREAKING NEWS
    Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza F...
  • TAIFA STARS YALETA KOCHA MPYA
          Kim Poulsen ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (Taifa Stars) kuanzia Mei 11 mwaka huu k...
  • WAHAMIAJI HARAMU KUMI NA WATOTO 3 WAKAMATWA KAHAMA
    picha wahamiaji haramu wakiwa ofisi za uhamiaji wilaya ya kahama baada ya kukamatwa kituo cha basi

Followers

YALIYOMO:

BLOG MARAFIKI

  • MICHUZI BLOG
    TIRA:Mali na Mitaji Katika Soko la Bima thamani imeongezeka kutoka sh.trilioni 1.277 hadi kufikia sh. trilioni 2.340
  • Taswira Huru
    KUKATA MITI HOVYO NI CHANZO CHA MABADILIKO YA HALI YA HEWA

IDADI YA WASOMAJI:

Follow this blog
Theme images by homebredcorgi. Powered by Blogger.