![]() |
Rais Kikwete akisalimiana na Baadhi ya Masheik kabla ya swala ya Idd el Fitr mapema leo asubuhi. |
![]() |
Rais Kikwete na waumini wengine wa kiislam wakisikiliza mawaidha katika ibada hiyo ya Idd el Fitr. |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipena mkono wa Idd el Fitr na waumini wenzake wa kiislam baada ya swala hiyo ya Idd el Fitr,katika msikiti wa Kinondoni,jijini Dar es Salaam leo. |
No comments:
Post a Comment