Waziri wa Habari,Vijana , Utamaduni na
Michezo Dr. Fennella Mukangara (kulia) akibadilishana mawazo jana mjini
Mbeya na Naibu wake Amos Makalla(katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro
Joel Bendera wakati wakimsubiri Waziri Mkuu wa Tanzania kuja kuzindua
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2012 .
PICHA NA VICENT TIGANYA MAELEZO
|
No comments:
Post a Comment