Thursday, July 24, 2014

UCHAGUZI BAVICHA HIVI KARIBUNI

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), John
Heche akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar esSalaam jana, kuhusu kuanza kwa uchaguzi wa nafasi za uongozi wa ngazi ya majimbo, wilaya, mikoa na ngazi ya taifa fomu zitaanza kuchukuliwa tarehe 10-25 mwezi wa 8 mwaka huu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu-Bavicha,Ester Daffi na Katibu Mkuu wa Bavicha, Deogratias Munishi. (Picha na FrancisDande)




Naibu Katibu Mkuu-Bavicha,Ester Daffi akizungumza na waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment