Friday, July 18, 2014

HOUSEBOY ATAFUNA UBONGO WA MTOTO MOSHI.

Picha kutoka TZA
ASUBUHI ya leo July 18, kuna taarifa kutoka Moshi kuwa mfanyakazi wa ndani wa kiume [Houseboy] kumpasua kichwa mtoto mdogo wa darasa la 3 kisha ubongo wake.

Baada ya kumaliza tukio hilo kilichofuata ni yeye kujikata sehemu zake za siri, taarifa za kina zikuhushu tukio hilo la kusisimua  utazipata... Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro amethibitisha kutikea kwa tukio hilo.

No comments:

Post a Comment