Monday, July 1, 2013

WATU WATATU WAKAMATWA WAKIWA WAMEVAA T-SHIRT YENYE UJUMBE TATA WAKATI WA MAPOKEZI.

Jemba mmoja apewa kichapo na askari wa jeshi la police, baada ya kupiga picha kwa kutumia simu watuhumiwa waliokamatwa wamevaa  t-shirt zenye maandishi yasiyo kuwa ujumbe mzuri ambao haukuweza kufahamika mara moja leo hii wakati wa mapokezi ya Rais Obama.

 

Gari la jeshi la police likiwapakia watuhumiwa waliokamatwa


No comments:

Post a Comment