Taarifa zilizo tufikia hivi punde, kuwa wanafunzi wa chuo cha mwl Nyerere na IFM waandamana hivi sasa kuelekea Wizara ya ulizi wakiwa wanaimba "Tumechoshwa kuibiwa na kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji"
Hii ni kufatiwa na matukio ya mara kwa mara yanayotokea katika maeneo wanayoishi. Mmoja wa wanafunzi wa IFM akiongea na blog hii amesema " tumechoshwa na vitendo amabavyo vinaendelea, huku jeshi la polisi wakipewa taarifa bila kufanyia kazi maana hii si mara ya kwanza kutokea kwa matukio kama haya"
No comments:
Post a Comment