![]() |
Wasamalia wema, wamfunika mtu aliyekutwa mtupu amabaye jina lake halikuweza kufahamika. |
Mtu mmjo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, amekutwa leo asubuhi mtupu kama alivyo zaliwa maeneo ya Segerea mtaa wa migombani jijini Dar es salaam.
Hali hii imewashangaza wapita njia na wakazi wa eneo hilo, kumkuta mtu huyo katika hali hiyo na akiwa katika hali mbaya kabisa ya kuto kujiweza au kutojitambua.
Mmoja wa shuhuda wa tukio hilo la kushangaza Bi Milembe, akiongeana na na mwandishi alisema " sisi tumeamka asubuhi tukijiandaa kwenda kwenye mizunguko yetu, mara tukasikia kelele ikabidi nitoke kwenda kuangalia kuna nini? nilipofika nikakuta kuna watu wengi wakimshaangaa huyu kaka kwani yuko mtupu na inaonekana kama kapigwa na kinyesi kikiwa kimemzunguka" Hadi mwandishi anaondoka eneo la tukio polisi walikuwa hawajafika eneo la tukio.
No comments:
Post a Comment