 |
Basi lililo pata ajari huko magu Mwanza, la kampuni ya Bunda Express. |
Eneo
la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda Express'
lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda
wa saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha
kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi na
mvua kubwa ilikuwa ikinyesha
No comments:
Post a Comment